HomeCELEBRITY NEWS

Khloe Kardashian na Cheating Boyfriend Tristan Thompson wampa mtoto wa jina la TRUE

Khloe Kardashian na Cheating Boyfriend Tristan Thompson wampa mtoto wa jina la TRUE
Like Tweet Pin it Share Share Email

Ilizuka scandal ya Tristan Thompson ambaye ni boyfriend wa Khloe kardashian kwamba alikua aki cheat na wanawake wawili tofauti na hadi picha na video zilikua zinasambaa online ikiwa siku chache kabla Khloe hajajifungua,but waambiwa Khloe kashamsamehe boyfriend wake na maisha yanaendelea.

So Khloe amejifungua tarehe 12 mwezi huu na familia yake ilikua pamoja na yeye ,huko Cleveland ambapo boyfriend wake anaishi.Na ndugu wamepongeza akiwemo Kylie ,Kim na mama yake Kriss.

Khloe amepost on her instagram kwamba mtoto wao wamempa jina la TRUE.Akiwa kapost na nursery ya mtoto wao ambayo iko full of pink color.

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.