HomeNATURAL HAIR

FBF :: Kheris Rogers Binti wa Miaka 10 Alikua akitaniwa for her Dark Skin,Aamua kuigeuza rangi yake kua brand

FBF :: Kheris Rogers Binti wa Miaka 10 Alikua akitaniwa for her Dark Skin,Aamua kuigeuza rangi yake kua brand
Like Tweet Pin it Share Share Email

Kheris Roggers aka kherispoppin ni binti wa miaka 10 ambaye alikua bullied na kutaniwa sana sababu ya ngozi yake kua nyeusi ,lakini ameji empower na kuamua kuifanya rangi ya ngozi yake kua brand yake.

Aliandika hair stylist wake @kherispoppin was teased about her dark beautiful complexion. She turned tears into empowerment and her dark skin into a brand. She is now the entrepreneur of her brand “Flexin In My Complexion”

So anakauli mbiu yake ya FLEXIN IN MY COMPLEXION

ana movement yake anayofanya hiyo ya kuhakikisha kila mtu no matter your complexion kila mtu ni mzuri na tunahitaji ku empower zaidi message kama hizi kwamba wewe ni mzuri tu 

tukifanya hivi wanaojichubua basi wata acha.

love this theme ya pearls 

Instagram @Kherispopping

Alicia keys showed her some love 

 

 

 

Comments (3)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.