HomeSTYLE TIPS

Khadija Mwanamboka Atoa Tips za Nini Ufanye ili Udamshy

Khadija Mwanamboka Atoa Tips za Nini Ufanye ili Udamshy
Like Tweet Pin it Share Share Email

We all know Khadija Mwanamboka,fashion designer,mjasiriamali,philanthropist,balozi wa watoto walemavu wasio ona wala kusikia ,she is everywoman.

Alikua kwenye kipindi cha Dadaz cha EATV na alikua akiongelea mada ya Kuwa mwanamitindo lazima kuvaa nguo za gharama??

Hapa katoa points kadhaaa kwamba lazima ujue mwili wako ,nguo gani zina work for you,ujue una taka kwa siku hiyo ku make statement gani nk.

Muone na kumsikiliza hapa

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.