HomeCORPORATE CHIC

Jinsi ya Kuvaa Culottes /Pensi Nyanya Kazini

Jinsi ya Kuvaa Culottes /Pensi Nyanya Kazini
Like Tweet Pin it Share Share Email

Culottes au pensi nyanya leo nakuonyesha basi jinis ya kuvaa vazi hili ambalo kwa sasa lina trend sana kila mahali kwa mafashionista mbalimbali huko majuu na hapa bongo.

Uzuri wa culottes you can get away with it sababu kuna ambazo ni pana sana mtu anaweza hisi ni umevaa skirt kumbe ni pensi nyanya.

Leo nawaonyesha njia mbalimbali waweza vaa hii suruali kwa kazini .Iwe umejiajiri au umeajiriwa hili vazi ni zuri sababu halibani wala nini,na urefu wake unategemeana wewe unapenda vipi ila huwezi vaa kama shorts.

Zinapendeza with a boxy top kama hii iwe kama crop top flani hivi ila sio sana 

Kwa watu wafupi pendelea sana cullotes zako ziwe highwasted hii itasaidia ku elongate your legs so utaonekana slim and tall 

Layering up

waweza layer up kwa kutupia blazer 

au vest /waist coat pia

Add the right accessories

play with proportions

Go with heels for the office look,japo kwa casual waweza vaa flats 

Usiogope ku add prints

cullotes zinanoga sana zikiwa juu ya kiwiko cha mguu ,hazitakiwi ziwe ndefu hadi chini 

rock a button down shirt 

go with a  monochromatic feel

 

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.