HomeWOMEN CELEBRATION

Jinsi Shamim Mwasha,Irene Kiwia,Nancy Sumari ,Brenda Msangi na Wengine Walivyosherehekea Siku Ya Wanawake Duniani

Jinsi Shamim Mwasha,Irene Kiwia,Nancy Sumari ,Brenda Msangi na Wengine Walivyosherehekea Siku Ya Wanawake Duniani
Like Tweet Pin it Share Share Email

Kilele cha Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yalifikia ukomo tarehe 8 March lakini tunawasherehekea wanawake kila siku.

Kauli Mbiu ya mwaka huu ikiwa #PRESSFORPROGRESS wanawake wakihitaji equality kila nyanja ya maisha yao Elimu,uongozi,siasa etc.

Hapa Bongo Wanawake wengi walisherehekea siku hii kwa namna tofauti tofauti ,tucheki basi baadhi yao na mambo waliyofanya siku ya Wanawake duniani.

Upande wa TWAA chini ya Irene Kiwia walisherehekea siku ya wanawake duniani kwa kutoa tuzo mbalimbali kwa wanawake wanaofanya vyema na kuonyesha mabadiliko kwenye sector mbalimbali.

I had such an amazing time at #twaforum2018! The entire day was filled with so much power, so much energy, so much greatness… The discussions were enlightening and invigorating at the same time. I am very confident that the seeds that were sown on this day will yield gigantic trees! Let’s keep at it! #pressforprogress #iwd2018

Da Shamim Mwasha nae alihudhuria huko kwenye sherehe zilizo andaliwa na TWAA

Kivazi hiki #patamuonekano 🤔
The wait is over 😊
#rindaskirt by @bonuzi
#whitebowshirt @theglamorousfashion
#shoes by @shoe_ville
#photobyiphonex ya @mgece__cici__designs .

Nancy akiwa kwenye Pannel huko kwenye ubalozi wa Uingereza hapa Tanzania katika kusherehekea siku ya wanawake duniani

‘Through @jengahub and @nsfoundation, we hope to create a level playing field among boys and girls from the very offset, by equipping them with the right knowledge and skills in technology coupled with the right education.’- NS #Pressforprogress #IWD2018#Genderequality #Technology #Education#HDIF #UKEmbassyTZ

Nikiwa na Kaimu Balozi wa Marekani leo tukisheherekea siku ya wanawake duniani. 
With the Chargè d’Affaires of the American embassy this morning, celebrating International Women’s Day 
#IWD2018 #Genderequality #girlpower#Amchamtz #usembassy#kwahisaniyawatuwamarekani #MWF #Yali#Alumni

Ilikuwa ni siku ya furaha na kujifunza pamoja na wanawake wanaofanya kazi kiwanda cha TBL Arusha nikiwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
Niliongelea kuhusu kuchukua nafasi zetu kama wanawake.
Kujitambua ili Kujithamini.
Kuongozwa na Kusudi.
Kuishi kwa Mipango.
Empowered women empower women! #IWD2018

WOMAN MAKE TANZANIA STRONGER #womenmaketanzaniastrongerndo ilikua theme ya leo katika #teapartyforum iliyoandaliwa na kampuni ya #soaringwomen ya madam @lifecoachluuakiwezeshwa na #nestletanzania katika event iyo ilofanyika #ramadahotel na kuhudhuriwa na #wanawakewanguvuakiwepo madam #christinemwanukuzikama mgeni rasmi walikuwepo wake kutokaka sekta mbalimbali sambamba na wanaume waliokuja kubalance gender akiwemo @masoudkipanya nimeshare mengi kupitia twitter handle yangu jina la #shamimmwasha .
Pichani niko na madam president #devotelikokola nikiwaambia #zezekibubuchallenge haijaibuka from no where mtakua mnanielewa sasa nimeanza kitambo… 😎@bkinemo #corporatechicmpenda vaa vitenge mwenzangu …. kuna picha tumeshika bidhaa hapo kati eee … tega sikio nitakuelezea vyema

SLAYERS 

Ijumaa ya tarehe 9 nilikuwa mmoja wa waalikwa kwa shughuli ya wanawake iliyoandaliwa na CRDB premium club ambapo zaidi ya kujumuika na kusikiliza hadithi nzuri kutoka kwa wanawake waliofanikiwa katika sekta mbalimbali na huduma zao
.
Zaidi nilifurahi kukutana na mentor wangu Aunt FArida founder wa @52weekssavingchallengetz ambaye ananipa muongozo mkubwa kwa #zezekibubuchallenge …. hapa nikiwaelezea hamtamfaudu mchill tumsikize kwa #zezetv

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.