HomeFashion

Jaden Smith Avaa Skirt kwenye Kampeni za Louis Vuitton Womens Wear 2016

Jaden Smith Avaa Skirt kwenye  Kampeni za Louis Vuitton Womens Wear 2016
Like Tweet Pin it Share Share Email

24201371841_57abd5d4ec_b

Mambo ya Unisex mwaka jana yalishika kasi sana ,yalitrend kwenye fashion na mwaka huu mambo ya dresses na gender yanaingia kwa dimension mpya kabisaa na ndo ambayo Kampeni hii inajaribu kuonyesha na kwa kumtumia Jaden smith ambaye mara kadhaa amekuwa akitinga zake skirt au shirt dresses ikiwa ni style yake na hajali kama dresses au skirt wengi wanazivaa kutokana na kuwa ni wanawake.
23657074913_d288e1e248_o

Kwenye Kampeni hii Jaden ndo mwanaume pekee wengine wakiwa Models wakike.Jaden-Smith-LV2

Jaden alitajwa kuwa kwenye kampeni hiyo na Louis Vuitton’s creative director Nicholas Ghesquiere huko instagram.jaden-smith-est-bien-entoure-dans-la-campagne

Baadhi ya Mavazi ya Jaden Smith ambayo yeye hajali kuwa ni wanawake ndo wanavaa tu ,ikiwa hii ni style tu issue za gender hazihusishi.Ikiwa pia ndo focus ya fashion house ya LV ambai hii collection mtu yoyote anaweza kuvaa haijalishi ni mwanaume au mwanamke.jaden-smith-style-02-630x316

Wenyewe wanaita gender less fashionjaden-smith-style-01-630x316

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.