HomeHair Do

Issa Trend ::: The New It Hair Style

Issa Trend ::: The New It Hair Style
Like Tweet Pin it Share Share Email

Are these fashionistas telling us tubadilishe hair style zetu tuhamie kunyoa na haka ka way tuweke ,waweza kuweka color pia .The hair do is just so chic naona wote walonyoa hivi wamependeza isije kua wana damu nzuri mnajuaga ile unapendeza mtu anasema unadamu ya nguo kumbe umefanya outfit planning ndo hii sasa wamenoga.

Da Shamim Mwasha rocking her new hair cut mara nyingi tumezoea kuona akiwa na rough dreads na low cut ya kawaida this time kaweka na ka way amazing

love the hair color too.

Nancy Sumari ,mwaka jana tulimuona sana na wigs but this year kaamua kurudi kwenye kunyoa and rocking this new cut kapendeza. Irene Kiwia tangu mwaka jana she is rocking this hair do ,love the kidoti cha bleach hapo.

kimemnogesha.

Hafsa nae last weekend we saw her debut this hair cut on her out and about

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.