HomeFashionista

IS BEYONCE PREGNANT WITH BABY NO 2???

IS BEYONCE PREGNANT WITH BABY NO 2???
Like Tweet Pin it Share Share Email

beyonce

Mbali na ma paparazi wa majuu ku highlisht hii issue ya beyonce kuwa anaweza kuwa prego hata mie yaanza ingia akilini ,i mean kila siku anabeba pochi au laptop yake anaweka tumboni au kuficha tumbo na pochi,Kama picha ya juu hapo naona kashaanza hata kuwa kibonge ye naye huwa msiriiiii.

Lets wait and see kwakweli kama mimba ya Blue Ivy alituonyesha akiwa anaperform Kwenye VMA 2011 kama she is prego i cant wait style gani atakuja tumia kujulisha fans wake

Beyonce performs onstage during the 2011 MTV Video Music Awards at Nokia Theatre L.A. Live on August 28, 2011 in Los Angeles, California. 2011 MTV Video Music Awards - Show Nokia Theatre L.A. Live Los Angeles, CA United States August 28, 2011 Photo by Jeff Kravitz/FilmMagic.com To license this image (122723804), contact FilmMagic.com

bey2 bey3 bey33

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.