HomeUncategorized

IDRIS SULTAN IS ROCKING A TURBAN,THOUGHTS???

IDRIS SULTAN IS ROCKING A  TURBAN,THOUGHTS???
Like Tweet Pin it Share Share Email

Turban are for Men and Women ,na wanaume kama wa kiislam au wa kihindi huwa wanavaa vilemba vile Turban ni kwa kingereza so hata zile kofia juu wamezungushia kitambaa those are Turbans.May be kwa Waislam au wahindi wao watu hawashangai wakivaa kama wanavyoshangaa mtu kama Idris kufunga a Turban.

idriss2

He is rocking a Turban with a big smile ,na confidence yake inaonekana iko juu.Sio wavaa hivi then uogope watu na kuanza kujishtukia.12599009_1560712567580637_1475655786_n

Hapa kavaa tena na a nice blazer kimtoko zaidi.Itabidi atupe tutorial on how anafunga hii Turban yake.

Any thoughts on this one???

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.