HomeBiashara

Hongera Leyla kwa tuzo ya Malkia wa Nguvu

Hongera Leyla kwa tuzo ya Malkia wa Nguvu
Like Tweet Pin it Share Share Email

Hongera nyingi kwa Leyla ambaye amepata tuzo ya Malkia wa nguvu kwenye category ya Biasahara reja reja .

Ame dedicate tuzo hii kwa wanae kama alivyo andika kwenye insta page yake

JANA NILIDEDICATE HII ZAWADI
KWA WANANGU MANA WAMEJITOA
NA KUNIVUMILA KWA MENGI
HUYU MDOGO HAD ALIACHA SHULE
ASHIKE KAZI NA ANAIWEZA HASA
LKN NAJUA ONE DAY ATARUDI TU
NA APATE ELIMU ITS ABOUT TIME
WAMEPITIA MENGI SANA WANANGU MNO KIASI KILA SIKU
NASEMA NALEA STRONG LADIES
HADI NAWAOGOPA NA AKILI ZAO
WANABIG DREAMS.
KUWA STRONG KOTE NI AJILI YAO TU ❤❤❤❤

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.