HomeFashion

Hivi ndo Fellow Blogger Missie Popular anatoa Ushamba,Umenoga haswaaa

Hivi ndo Fellow Blogger Missie Popular anatoa Ushamba,Umenoga haswaaa
Like Tweet Pin it Share Share Email

Missie popular aka Fellow blogger kama Da Zeze anavyopenda kumuita ameibukia kwenye u model ,nafikiri ndo kule kuelekea kutoa ushamba ambao wengi walimwambia na akakubali akasema atabadilika,i see the come back is pretty amazing ,am sure watu washasahau walikuita mshamba.

kama hujui tunaongelea nini cheki video yake hapa chini akikubali yeye mshamba na vitu ambavyo ameamua kubadilisha kwenye muonekano wake .

We are loving the new you Missie popular

 Model – @missiepopular
Photo- @AzhPhotography

Designer @jamillaveraswai
Makeup and headwrap- @simplygorgeous_tz

Accessories @manyatta_101

Bags- @Mama_ africa_modish

Location- @Slipway terrace

we cant wait for more pictures

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.