HomeSLAYER

Hivi ndo Cardi B Alivyopata her showstopping dress kwa Grammy 2019

Hivi ndo Cardi B Alivyopata her showstopping dress kwa Grammy 2019
Like Tweet Pin it Share Share Email

Hii Video itaonyesha how hard people work hard na ukiona wamefanikiwa your like yes they worked for it.

Kuanzia designers,stylist mpaka mtu wa mwisho kama ni nywele sijui nails ,wana plan na ku work through it ,usidanganywe kwamba vinatokeaga tu hapana ,the make it happen.


Enjoy this video uone cardi B alivyopata her dress and all the outfits for the grammy.

Cardi kasemwa sana kwamba haja deserve kupata tuzo ya Album of the year ,yani mpaka kafuta page yake ya instagram.Social Media trolls is real something

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.