HomeShosti talk

Hii Ndio Sababu Inawafanya Baadhi Ya Watu Kuendelea Kushirikiana Na Exes Wao

Hii Ndio Sababu Inawafanya Baadhi Ya Watu Kuendelea Kushirikiana Na Exes Wao
Like Tweet Pin it Share Share Email

Bado umeshikilia mahusiano na mtu ulieachana? Sababu inaweza kuwa inatokana na tabia na hisia za kipekee za mmoja wapo.

Hutapata urahisi wa kupata mapenzi mapya  kwenye mahusiano mengine. Lakini kuna wenza ambao huamua kuishi pamoja  hata kama kuna tofauti  kati yao.Kutokana na tabia na utofauti wao , au kwa sababu ya kulinda heshima ya watoto, huenda ndio sababu kubwa.

Wachunguzi wameona hili kwamba , wengine wanakuwa bado wana hisia  na wenza wao , na wanapata wivu kama wakiona mwenza anakwenda kwa mtu mwingine. Au kwa sababu ya pesa nyingi, ushirikiano wa kimitandao,  kutokana na kutunza  heshima ya mtandaoni. Kulinda  hali ya kutokubalika kwenye makundi mbalimbali. Vitu mbalimbali walivyonavyo.

Kuogopa mageuzi ya marafiki wa karibu, pamoja na kuwa na usikivu mkubwa  na kwa kuwa walikuwa wakisaidiana katika kukamilisha malengo.

Sababu kubwa ya muhimu ni kutunza urafiki wao  na kuishi. Au kutokana na makubaliano walionayo na thamani yao katika jamii, hicho ndicho kinawafanya wabaki pamoja hata kama wameachana.

Sababu nyingine ni kutunza  umaarufu , kama walikuwa maarufu, kutunza ushirikiano katika mitandao,  Msaada wa pesa ndio maana wameendelea kuwa marafiki.Wakati mwingine ni kwa sababu ya kujilinda , kwa sababu ya afya ya kila mtu. Kuepukana na stress,  hofu, wasiwasi na kukosa kujiamini.

Tahadhari lazima iwepo. Hata kama unataka kulinda urafiki lakini humaanishi urafiki wa kweli.Kila mtu ana kusudi lake ndio maana yuko hapo. Kila mtu anaweza kuwa na sababu ya msingi ilio tofauti ndio maana ya kuendelea kuwa na urafiki. Na hii itakuletea ugumu zaidi na ukakosa furaha ya maisha uliyokusudia baadae

being-friends-with-an-ex HII NDIO SABABU INAWAFANYA BAADHI YA WATU KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA EXES WAO

Ukifanya maamuzi sahihi hutajutia. Ni juu yako kulinda urafiki  kwa ajili ya pesa, mali na vingine. Au kusonga mbele na kuanza upya.

Credit ; www.lizzdavid.com

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.