HomeWedding

Ambwene Yesaya aka A.Y afunga ndoa #AywedsRemy

Ambwene Yesaya aka A.Y afunga ndoa #AywedsRemy
Like Tweet Pin it Share Share Email

Mwanamuziki Ambwene Yesaya aka A.Y amefunga ndo na mpenzi wake wa miaka 9 Remy ambaye anatokea Rwanda,Msanii huyo alimvisha pete ya uchumba Bi Remy mwaka jana Chekiposti.

Na mwanzo mwezi huu mwanzoni walifunga ndoa ya kimila huko Rwanda

Na weekend hii basi wakafunga ndoa hapa hapa bongo

Mapamba yamesimamiwa na Kevinsevents 

Beach please

mambo ya beachWedding

decor ilikua amazing hadi Wizkid kasema anatamani kufunga ndo kwenye beach za Tanzania

Jioni jioni hivi

Wedding preps for the Groom and his squad

Remmy karembwa na Divaglambeauty

she is sooo pretty

Waiting for her to walk down the isle

Faridi Kubanda ,Salama Jabir,Peter Mo

Kibonde na mkewe

Groom squad na the newly weds

Walinoga

Waalikwa

RECEPTION

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.