HomeWOMEN CELEBRATION

Harambee Ilivyofana kwa Tanzanite Women’s Forum Lunch 2019

Harambee Ilivyofana kwa Tanzanite Women’s Forum Lunch 2019
Like Tweet Pin it Share Share Email

Wakati dunia iliposherehekea siku ya wanawake duniani 8th March ,ambapo mwaka huu ukikua mwaka wa 108 tangu siku hii kuanzishwa baada ya wanawake wengi sana kufa kwa kupigania haki yao ya msingi ya kuchukuliwa na kutambulika kama binadamu sababu zamani wanawake walikua property,au a thing hawakuchukuliwa kama watu let alone uwanamke wao,walikua simply mali ya mwanaume,sisi tulisherehekea siku ya Jumamosi ya tarehe 9 ,tukiwa kwenye event ya Tanzanite Womens Forum Lunch ambayo iliandaliwa kwa ushirikiano wa Designer ,balozi ,mjasiriamali Khadija Mwanamboka kupitia kampuni yake ya Ujuzi Initiative na Jukwaa la Wanawake Dar es salaam.

Miriam Odemba doing what she does best

Shughuli ilikua na mambo mengi sana moja wapo ilikua kufanya harambee ambayo lengo lilikua kukusanya fedha kwa ajili ya wanawake wa JUWADA ambao wata anza kusoma ujuzi mbalimbali tena ikiwa ni bure.


@miriamodembaAuctioning TanzaniteSet from our Kind Sponsor @ley_jewellers@ley_jewellers@ley_jewellers which @ashurasapibought.then gave it back for auction #TanzaniteWomensForumLunch2019#womensday2019


Hii ilienda kwa 2.7 ila Ashura akarudisha ikanunuliwa tena kwa 2.1 na Mwanahamisi Singano.

Miriam na Mwanahamisi Singano

In Katty collection

SPECIAL THANKS TO OUR SUPPORTER @jacquelinemassawejewels #UHURIWINGSWHICH WAS AUCTIONED BY @miriamodemba#TanzaniteWomensForumLunch2019#BalanceForBetter #FemaleEmpowerment#womensday2019@miriamodemba
Auctioning a piece from NYUMBANI DADAZ ARUSHA AND ROSE VALENTINE WHICH WAS BOUGHT BY @nambuacassandra DRESS BY @fouadsarkisofficial#TanzaniteWomensForumLunch2019#WomensDay2019 #FemaleEmpowerment#BalanceForBetter

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.