HomeHAIR STYLES

Hair Inspiration You Can Take From Gabrielle Union

Hair Inspiration You Can Take From Gabrielle Union
Like Tweet Pin it Share Share Email

I love Gabrielle she is a super woman kuanzia kwenye kazi zake za uigizaji nilipenda character yake kwenye series ya Being Mary Jane ,uhamisishaji wa wanawake waliopitia majanga ya kubakwa aki wa encourage wa speak out ,they are not alone,ni muwazi pia ana share ambavyo anahangaika kupata mtoto akiwa mhanga wa miscarriage zaidi ya 10 maskini,ni author pia wa kitabu cha We are going to need more wine.Ni mke pia wa mcheza kikapu maarufu Dwyane Wade they are a cute and funny couple wanavituko sana .

Now on to the hair,she always rocks good hair ,siku hizi naona anapenda sana curly hair tofauti na zamani long hair au bob straight hair japo sasa hivi amerudi kwenye bob short hair hapa katikati alipenda sana Big hair dont care.

Bob pixie cut 

big hair dont care 

front bun

long hair 

high bun

side bun

Curly 

 

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.