HomeBeauty

Hair Guru wa Bongo Aristotee Ataja Mastaa Bongo wanaovaa Nywele za Ghali Sana .

Hair Guru wa Bongo Aristotee Ataja Mastaa Bongo wanaovaa Nywele za Ghali Sana .
Like Tweet Pin it Share Share Email

Aristotee anajulikana sana kwa ujuzi wake wa nywele among wadada wengi sana mjini ambao wanaopenda sana hizi nywele mwaita Lace wigs .Anajiita mzee wa kutofautisha kwamba kwake anauza top hair za quality na bei ambayo pia imeshiba.

Alipofanya mahojiano na Ayotv alisema kwamba Irene kwake ni namba moko au mbili sababu halalamiki bei,harudii nywele na pia akisha ivaa anarusha kwa Aristotee yeye anaiuza tena kama used.

Well ya mambo ya kuvaa nywele once na kugawa ni hela mtu anazo nyingi au huwa ndo u diva.

Wengine kwenye List ni Shilole ambaye alisema anajitahidi ,Elizabeth Michael,Zamaradi Mketema pia yumo.

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.