HomeZezekibubuchallenge

Gyvermeena Alivyoweza ku save 9Ml katika #zezekibubuchallenge ,Plus Tips alizotumia kufikia Lengo

Gyvermeena Alivyoweza ku save 9Ml katika #zezekibubuchallenge ,Plus Tips alizotumia kufikia Lengo
Like Tweet Pin it Share Share Email

Shuhuda za #Zezekibubuchallenge zinaendelea ,leo tupo na Gyver Meena ambaye ni mkurugenzi wa gyverbeautyspa & @gyverluxuryhair  .

My Name is @QueenGyvermeena
Owner @gyverbeautyspa & @gyverluxuryhair
My kibubu challenge 2018..was very successful..
my goal was to expand my business 
My target was 6.8mil but manage to save 9mil .. thank you Shamim for inspiring us to do #zezekibubuchallenge .. .

.✨Saving .
.✨inahitaji discipline. .
.✨Inahitaji mwendelezo
.
. ✨Inahitaji uwe na malengo .
✨Inahitaji uwe Una track ur goals kwa siku kwa week na Kwa mwezi
.
.✨Inahitaji uwe unajua budget yako kwa mwezi, Itakusaidia saving yako iwe rahisi unakuwa unanunua Vitu kwa mipango.. .
.✨Unahitajika kujua kipi Cha lazima na kipi si cha lazima na kipi kisubiri. .
✨Ili uweze kujua unataka nin next na malengo yako inakupasa kujiandaa .
.
.✨Na pia yakupasa kuwa na fikra chanya .. usikae na watu wanakuambia iyo target mbona hutaweza .. ka mbali na watu wanaowaza negative .
.✨Kuwa karibu na watu wanaoku encourage na kukusuport kuwa unaweza .. keep it up .. ur doing great etc iyo itakuwasaidia kufikia malengo yako makubwa na utashaangaa m
.
.✨ My saving goals for this year 2019 is to save for my business and personal . 14 millions plus

I wish you all the best on ur next saving goals

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.