HomeBE INSPIRED

Flaviana Matata kwa Kampeni ya #TodayWeWill

Flaviana Matata kwa Kampeni ya #TodayWeWill
Like Tweet Pin it Share Share Email

Flaviana Matata akiwa na wenzake wengine wanne wamekua feature kwenye Naturalizer kupitia kampeni yao ya #TodayWeWill ambayo ina hamasisha kunyanyua wengine ,kama umefanikiwa na umuhimu wa kusaidia wengine nao wanyanyuke.

Flaviana ameongelea mengi akiwa kama Model na mjasiriamali akiwa Founder pia wa Flaviana Matata Foundation focus yake ipo kwenye ku empower wasichana kupitia elimu,ku give back.

READ THE FULL ARTICLE AT NATURALIZER

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.