HomeWOMEN CELEBRATION

Flaviana Matata Apewa tuzo ya Impact Awards na Jarida la Elle

Flaviana Matata Apewa tuzo ya Impact Awards na Jarida la Elle
Like Tweet Pin it Share Share Email

Happy Women’s Day leo kwenye kusherehekea sikua ya wanawake duniani,tunamcelebrate Flaviana Matata ambaye kupitia Flaviana Matata Foundation ameweza kutunukiwa tuzo ya Impact Award sababu amebadilisha maisha a wanafunzi na watu wengi sana .


@FlavianaMatata has pushed boundaries, created change in her native country of Tanzania, and is presenting the first-ever @BananaRepublic No Boundaries honor at this week’s ELLE Impact Awards to celebrate other women making an impact in their communities. #BRNoBoundaries#itsBanana

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.