Hello
Ramadan Kareem
Karibu kwenye segment ya Mishono,today nakuletea njia mbalimbali ambazo waweza kutumia kitenge kutoka kotofauti kidogo.
kushona belt ya kitenge kama hii,unaweza valia dresses au skirt zile za kukushika
Tumia shati nyeupe au pullneck kuvalia a kitenge top kama hii ,au ambayo ni ya offshoulder au hata ya kata mikono tu
so cute
changanya zaidi ya fabrics mbili kwenye mshono wako
kama hapa katumia kitenge,kitambaa cha stripes na cha chekecheke
kuvalia shati lako kwenye kitenge ,mshono wa kata mikono kama hivi
mix and match
kitambaa cha windowpane na kitenge