HomeALI KIBA'S WEDDING

EshaBuheti Ampa Maneno ya utu Uzima Mke wa Ali Kiba

EshaBuheti Ampa Maneno ya utu Uzima Mke wa Ali Kiba
Like Tweet Pin it Share Share Email

Haya wifi mtu Esha Buheti kaandika kwenye ukurusa wake wa instagram ,kumfunda kidogo wifi mtu kumwambia kwamba Watu wakimpelekea maneno ya umbea awaambie tayari alishaambiwa.

Kwako wifi kipenzii…… nnachokupendeaa unajuaa stara….. fichaa mwili wakooo hatutakiwii kuuonaa hy ni maliii ya king wetuuu andee yeye akauonee ndaniii….. mpz ndoaa ni ngumu sanaa ila itakua nyepesii kama ww utaifanyaa kua nyepesii…..kaishi na mumeoo kwa mapenzii teletelee….. kaonaaa wengi sanaa huyo ila amekuchaguaa wewe tenaa mpz unavigezoo vyotee hatutegemei kuongeza wapili wala wa4…..Kaka anapenda kulaa vizuriii kampikieee…. manake hata sisi dada zakee tulikuaa tunampikiaa….na naskiaa mashallah jiko unaliwezaa….nenda kawe busy na mumeoo usiwe busy na walimwengu…. MAWIFI TUPOO WALA USITUHOFIEE SIE TUPO BUSY NA MAISHA YETUU….nna mengi yakukwambiaa ila tutaonana ukirudii kwenye ule mjumba wako na mumeooo…. NARUDIAA TENAA ATAKAEKULETEA UMBEAA MWAMBIEE NAJUAAA MBONA TENA HUKU UKISMILE…. KISHA UKIFIKA NDANI MTIE MAKONZI KAKA MPK AKWAMBIE UKWELI…… πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€— jamani mke wetu mtamuonaa baadaee kuweni na subraa……naaam mwanamkee kujificha bwana sio kujiacha wazi kama nguo za mnadaaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Comments (1)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.