HomeFashion

Elizabeth Michael ,Wema Sepetu walivyojiandaa na Tuzo za SZIFF.

Elizabeth Michael ,Wema Sepetu walivyojiandaa na Tuzo za SZIFF.
Like Tweet Pin it Share Share Email

Tuzo za SZIFF zimefanyika jana ,japo maneno yamekua mengi kwenye washindi wa tuzo hizo.Hili nawaachia wadau wa Filamu bongo muendelee nalo.

Am into beauty ,hair and outfits za tuzo hizo,Tuanze na jinsi mastaa hawa walivyojiandaa na tuzo hizo from makeup,hair na outfits.

Japo sio zote picha tunazo tataendelea kuziongezea as time goes.

Wema sepetu giving us Tuxedo goals in Jm International ,makeup by Lavie

Hamisa Mobetto makeup by Lavie ,dress by Elisha Red Label

Elizabeth Michael nae makeup by Lavie ,dress by Evecollection,alivaa another dress tunasubiri picha .

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.