HomeBE INSPIRED

Elizabeth Michael anauza Nguo zake for A good Course #savemyvalentine

Elizabeth Michael anauza Nguo zake for A good Course #savemyvalentine
Like Tweet Pin it Share Share Email

Wanamuita Lulu lakini jina lake halisi ni Elizabeth Michael,amepost picha mpya kwa instagram page yake akisema kwamba valentine hii anataka kuuza nguo zake ambazo we all know ni nyingi ,nzuri na za gharama.

Na fedha zitakazo patikana basi zitaenda kwa watu wenue uhitaji katika jamii .

We love this initiative kwakweli,watu wengi maarufu mngefanya hivi nafikiri mgesaidia sana jamii na pia mngewafurahisha fans wenu pia.

Wakati Wengine Tumepata Fursa Ya Kuwa Na Furaha Kwa Vile Tulivyonavyo Kuna Baadhi Ya Wenzetu Wamekosa Nafasi Hiyo….. Na HUU NI MPANGO WA MUNGU🙏
.
.
.

Kuelekea Siku Ya Wapendanao Februari 14,Nimeamua Kuuza Sehemu Ya Nguo Zangu Ambazo Yawezekana Umeshawahi Kuziona au Haujaziona.
Na Pesa Yote Itakayopatikana Kupitia Mauzo Haya Itaenda Kusaidia Vitu/Watu Wenye Uhitaji Katika Jamii.
Please Join me to Save My Valentine.
#Savemyvalentine

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.