HomeBiashara

DSTV kuonyesha Mechi ya Jumamosi hii kati ya Mnyama na As Vital

DSTV kuonyesha Mechi ya Jumamosi hii kati ya Mnyama na As Vital
Like Tweet Pin it Share Share Email

Hatoki mtu hapa mapaka kieleweke,Jumamosi hii patakuwa hapatoshi Taifa pale ambapo Mnyama Simba wanapowakaribisha AS Vital ndani ya #CAF.
Na Kama kawaida kupitia Dstv Chaneli 204 utapata kushuhudia live mechi hii saa 1:00 usiku kwa kifurushi Bomba 19,000 tu @dstvtanzania

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.