HomeHAIR STYLES

Diamond Platnumz Rocks Mohawk Braids ,Yay or Nay

Diamond Platnumz Rocks Mohawk Braids ,Yay or Nay
Like Tweet Pin it Share Share Email

Kua msanii means ni kubadili muonekano wako mara kwa mara ,watu au mashabiki wasikuzoee,baada ya kiduku cha muda mrefu East African Finest Musician Diamond Platnumz decide to rock braids.

The braids zimesukwa style ya Mohawk  na ni ndefu waziona shingoni kabisa.

Japo hatujui hizi ni rasta za aina gani angemsuport Mama Dee na lile dili lake la Ubalozi wa nywele 

Are we here for this look or NAH

Comments (1)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.