HomeSARE SARE

Diamond Platnumz Ndani ya Sare Sare na Theo Kgosinkwe wa Mafikizolo

Diamond Platnumz Ndani ya Sare Sare na Theo Kgosinkwe wa Mafikizolo
Like Tweet Pin it Share Share Email

Diamond yuko SA at the  MTV base Africa kwenye Colours of African Media  launch,huku tukisubiri hiyo nyimbo mpya waliyofanya pamoja ,the video itakuwa nzuri Kwasababu hata mavazi yalikuwa Dope

Any way hawa wamekutana kwenye Hiyo Media Launch am sure ilikuwa ni coincidence tu basi maana wako kwenye almost same outfit .

I love Olive  such a cool color.12930853_1691410827789968_232504273_n

So Diamond wore black jeans with an olive green T shirt matching his sneakers and the Fedora hats ,while Theo wa Mafikizolo is rocking black ripped jeans with olive t shirt ,grey blazer ambazo zina match sneakers zake na again green Fedora hat.

They look DOPE.

Themafikizolo,DiamondPlatnumz,nhlanhla_nciz

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.