HomeBiashara

Cozy Cafe for lunch ,cateringservices ,weddings bridalshowers .

Cozy Cafe for lunch ,cateringservices ,weddings bridalshowers .
Like Tweet Pin it Share Share Email

Leo niwatambulishe kijiwe kipyaaaa mujini ambako kuna ukumbi wa kisure ( mi nauita ukumbi unaoeleya) yaani unakuwa kama uko kwa boat hivi 🤪
.
Kwa shughuli ya watu wachache kama engagement/ bridalshower / birthday/ secretSanta hata sendoff kama si wedding watu siku hizi hawataki Shanzii shughulini WATU 50 -100
hivi mnatosha
.
Raha iko hapa kwa 25,000 kwa kichwa mtapambiwa (MAPAMBO MTAKAYO )/ MTAKULA (bufee la maana) na MTAKUNYWA nyie ni kudamshi tu fika kwa wakati sherehekea mwende nyumbani
BOOK shughuli yako leo
@cozy__cafe
@cozy__cafe
@cozy__cafe

BOOKINGS:📞0717513949✨

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.