HomeCORPORATE CHIC

Corporate Chic Corner :: Styling High Wasted Pants

Corporate Chic Corner :: Styling High Wasted Pants
Like Tweet Pin it Share Share Email

On the corporate chic corner leo tunavaa high waist pants ,kwa mtu ambaye ni mfupu hizi ndo ziwe suruali zako sababu zitakusaidia ku elongate mwili wako utaonekana mrefu.

Rule kubwa ya high waist ni kuchomekea hii ndo kubwa ,sababu usipochomekea then hutaitendea haki hii suruali.

belted plaid pants with white top

add bright colors

a peep of black and white

pallazo pants

 

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.