ZEZE KIBUBU CHALLENGE ::TIPS ZA KUWEKA AKIBA BILA STRESS
ZEZE KIBUBU CHALLENGE #zezekibubuchallenge Wengi mmenifuata mkisema mnapumulia machine kwenye kuweka Akiba ngoja niwape tips kadhaa za kufanya ili tufike #desembabilastress #julytuhamiebank @nmbtanzania #bonusaccount #tuonanedesembađź’¸ . . 1. Saka kipato cha ziada #sidehustlebusiness #sakabidhaazenyebonus nk 2. Epuka vyakula vya kununua pika nyumbani au beba cheki offer za kulipa kwa mwezi 3. Linganisha bei kabla ya… (0 comment)

Tips 10 za Kuzingatia kwenye ku Save pesa ukiwa kwenye Tight Budget
Jamani nani hataki pesa???kwenye maisha ya sasa hivi kila kitu kina feel expensive,vitu vinatamanisha na ni ngumu kununua kila kitu ambacho unahitaji bila kua na hela nyingi,kila kitu mwilini kwako kinahitaji pesa kuanzia kichwa hadi miguu,sasa hapa ni mwili tu bado gari,nyumba ,mambo ni mengi alijisemea Da Chaba,na kila kitu chahitaji pesa. Ndo maana kila… (0 comment)