KIASI GANI CHA FEDHA UNATAKIWA KU SAVE KUTOKANA NA UMRI WAKO.
Ulishawahi kukaa na kufikiria kiasi gani cha fedha ulitakiwa ku save kutokana na umri wako?Hivi ndo maisha yatakavyokua kama hauta chukua hatua na kuanza ku save ••MIAKA 20 -Me bado mdogo doing my thing 💄💃🏼💅🏽kinge kingiiiiii ,ndo wale i want to have fun nna miaka kibao nta save mbeleni. MIAKA 30 – Niko kwenye relationship… (0 comment)

Usinunue DUMB SHIT kufurahisha watu
DUMB SHIT zako weye ni zipi? 1. Original handbag & Shoes ili tu wakuone huvai feki ( chahakiki kisiwe feki ni madawa tu maana utakufa🤣 #kukukukujogoojina 2.Gari ( kubwa au jipya wakati yoote yanakutoa sehemu moja kwenda ingine Unless iwe la kazi maalum…. ni kweli IST haiwezi beba mzigo km #nissanhardbody🥴 3. Kupanda BusinessClass…. si mnafika wote… (0 comment)

Jinsi Ya Kuishi Kwa Bajeti and Still Have Some Fun!By Godlisten Katunzi
Kwanza kabisa swala la kuishi kwa bajeti huwa ni gumu na wakati mwingine unaweza kuanza na yakakushinda na ukaamua kuacha. Ila kitu kimoja ambacho unaweza kufanya, ni kujifunza jinsi ya kutengeneza bajeti na kuishi kwa bajeti na bado maisha yakawa sawa. Inaweza kuwa ngumu hasa kama ndio umetoka chuo au ndio unaanza kazi, unaweza kuwa… (0 comment)

Testmony ya Emima katika #Zezekibubu Challenge
Bado kuna story nzuri za kusisimua kutoka kwa @emima8605 .Chakujifunza hapa ni kuwa kama una lengo na unalitumikia utalifikia na kupitiliza cheki post yangu ya juzi ushuhuda wa @gyverbeautyspa nae alikua na lengo. Lilipitiliza., hivyo basi inawezekana kabisa nawe ukashiriki hii challenge na kufanikiwa.Nikusihi tu andaa LENGO jua unataka kuweka akiba kiasi gani kisha cheki plan gani utatumia hapa @52weekssavingchallengetz Nenda… (0 comment)

Gyvermeena Alivyoweza ku save 9Ml katika #zezekibubuchallenge ,Plus Tips alizotumia kufikia Lengo
Shuhuda za #Zezekibubuchallenge zinaendelea ,leo tupo na Gyver Meena ambaye ni mkurugenzi wa gyverbeautyspa & @gyverluxuryhair  . My Name is @QueenGyvermeenaOwner @gyverbeautyspa & @gyverluxuryhairMy kibubu challenge 2018..was very successful..my goal was to expand my business My target was 6.8mil but manage to save 9mil .. thank you Shamim for inspiring us to do #zezekibubuchallenge .. . .✨Saving ..✨inahitaji discipline. ..✨Inahitaji mwendelezo.. ✨Inahitaji uwe na… (0 comment)

ZEZE KIBUBU CHALLENGE ::TIPS ZA KUWEKA AKIBA BILA STRESS
ZEZE KIBUBU CHALLENGE #zezekibubuchallenge Wengi mmenifuata mkisema mnapumulia machine kwenye kuweka Akiba ngoja niwape tips kadhaa za kufanya ili tufike #desembabilastress #julytuhamiebank @nmbtanzania #bonusaccount #tuonanedesemba💸 . . 1. Saka kipato cha ziada #sidehustlebusiness #sakabidhaazenyebonus nk 2. Epuka vyakula vya kununua pika nyumbani au beba cheki offer za kulipa kwa mwezi 3. Linganisha bei kabla ya… (0 comment)

Tips 10 za Kuzingatia kwenye ku Save pesa ukiwa kwenye Tight Budget
Jamani nani hataki pesa???kwenye maisha ya sasa hivi kila kitu kina feel expensive,vitu vinatamanisha na ni ngumu kununua kila kitu ambacho unahitaji bila kua na hela nyingi,kila kitu mwilini kwako kinahitaji pesa kuanzia kichwa hadi miguu,sasa hapa ni mwili tu bado gari,nyumba ,mambo ni mengi alijisemea Da Chaba,na kila kitu chahitaji pesa. Ndo maana kila… (0 comment)