Tanzanite Wome’s Forum and Lunch 2019
Yaassss leo naomba niwaletee mchakato mzuma ulivyoenda wa ile event amazing ilofanyika this weekend. Venue::Double Tree Color :: Blue,Purple and Black Organizer::Khadija Mwanamboka Mc:Mc Linah Baada ya watu kupiga picha event ilianza na viongozi wa JUWADA kutuelezea JUWADA nini na inafanya nini ,inshort historia fupi. Baaada ya JUWADA alikuja dada wa smartmoneydecisions ,alitufundisha mengi kuhusu… (0 comment)

Harambee Ilivyofana kwa Tanzanite Women’s Forum Lunch 2019
Wakati dunia iliposherehekea siku ya wanawake duniani 8th March ,ambapo mwaka huu ukikua mwaka wa 108 tangu siku hii kuanzishwa baada ya wanawake wengi sana kufa kwa kupigania haki yao ya msingi ya kuchukuliwa na kutambulika kama binadamu sababu zamani wanawake walikua property,au a thing hawakuchukuliwa kama watu let alone uwanamke wao,walikua simply mali ya… (0 comment)

Jinsi Shamim Mwasha,Irene Kiwia,Nancy Sumari ,Brenda Msangi na Wengine Walivyosherehekea Siku Ya Wanawake Duniani
Kilele cha Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yalifikia ukomo tarehe 8 March lakini tunawasherehekea wanawake kila siku. Kauli Mbiu ya mwaka huu ikiwa #PRESSFORPROGRESS wanawake wakihitaji equality kila nyanja ya maisha yao Elimu,uongozi,siasa etc. Hapa Bongo Wanawake wengi walisherehekea siku hii kwa namna tofauti tofauti ,tucheki basi baadhi yao na mambo waliyofanya siku ya… (0 comment)

TBT ,Women Celebration 2011  8020fashions 5th Anniversary
HII ILIKUA WOMEN CELEBRATION YA MWAKA 2011,MISHONO IMEANZA SIKU NYINGI JAMANI. 8020 Fashions imefikisha miaka 5 Alhamdulillah tumetoka mbali na tunakoelekea kuzuri zaidi,siamini blog ina miaka 5 what an achievement. Kwenye mwaka huu wa kutimiza miaka mitano ya utendaji,tulisherehekea kwenye women celebration na mgeni rasmi akiwa Mh  Angela Kairuki. Sahami Mwasha Dina Marious ndo alikua Mc… (0 comment)

Women Celebration 2014
Moja ya very successful event za Women celebration ,hii ilikua nzuri mnoo,theturn up was real kama kawaida wadada walitokelezea na vitenge . Mgeni Rasmi katika Hafla ya siku ya Wanawake,Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Asha Bilal akihutubia mamia ya kinamama waliohudhulia hafla hiyo. Shamim Mwasha kiki shaa Mgeni Rasmi… (0 comment)

WOMEN CELEBRATION 2013
Yes ni women celebration ambayo tunasherehekea kila mwaka kwenye siku ya wanawake duniani,basi wanawake tunakutana kwa pamoja tunasherehekea na tuna enjoy siku yetu hii kwa pamoja. Event ilifanyika Diamond Jubilee Mgeni rasmi akiwa Mama Tunu Pinda   organizer Shamim Mwasha Jacqueline aka Kylinn Kiki   Kiki na Kylinn Faraja ,Kiki na Rio       Passort… (0 comment)