Hongera Doris Mollel na Noel on your Nuptials
Well Doris Mollel wa Doris Mollel Foundation ambaye ni Humanitarian na founder wa Premature Born ,ana saidia na kutoa vifaa kwa watoto waliozaliwa premature.She is a beauty with brain ambaye na mu admire this weekend ame funga ndoa na Bwana Noel . Here are few pictures za harusi yao. i love their pre wedding pictures… (0 comment)

Ali Kiba and Abdu Kiba Double Reception
Baada ya kufunga ndoa sasa ilibaki Reception tu ya Ali Kiba na Abdu Kiba ,ndugu wawili hawa waliamua kufanya jambo lao kwa pamoja. Reception ilifanyika pale Hyatt regency dar es salaam,Nilipenda kwamba hii harusi ilikua na dress code Wanaume Kanzu nyekundu au cream na wanawake hali kadhalika nguo rangi hizi,kuna waliofata dress code na wengine walivaa… (0 comment)

Sherehe 8 za Harusi ya Fatima Dangote Mtoto wa Tajiri no1 Africa Aliko Dangote Zilivyoitikisa Africa
Wiki ilopita ilikua ni a week of celebration for the Dangote’s Family .Ambapo tajiri huyu wa kwanza Africa alikua akimuoza binti yake kwa Jamil Abubakar ambeye ni mtoto wa IGP Mstaafu wa Nigeria ,kijana huyu yeye ni pilot,pale pesa inapofata pesa. Bibi harusi ni founder wa Cupcake Factory Lagos sio sababu baba yake ni super rich… (0 comment)

Esé and Eric’s New Year’s Eve Wedding #EE2G17
Esé the founder of Esé Azénabor clothing company ni Mnigeria anaeishi Marekani ,she is amazing at her work alifunga ndo mwaka huu na Eric a real estate practitioner and CEO of Grembowski Investment Group. How We Met By The Bride-To-Be, Esé Eric and I met online, Zoosk to be specific (I am not sure if it still exists). Eric joined Zoosk… (0 comment)

Ambwene Yesaya aka A.Y afunga ndoa #AywedsRemy
Mwanamuziki Ambwene Yesaya aka A.Y amefunga ndo na mpenzi wake wa miaka 9 Remy ambaye anatokea Rwanda,Msanii huyo alimvisha pete ya uchumba Bi Remy mwaka jana Chekiposti. Na mwanzo mwezi huu mwanzoni walifunga ndoa ya kimila huko Rwanda Na weekend hii basi wakafunga ndoa hapa hapa bongo Mapamba yamesimamiwa na Kevinsevents  Beach please mambo ya… (0 comment)

Harusi Kali za Weekend Hii ,Mwanamuziki AY Afunga ndoa huko Rwanda
Good Morning people Issa Valentine Week right????mmejiandaaaje????kutoa zawadi hata kujinunulia tu zawadi mwenyewe kwa kujipenda. Anyway every Monday tutakusanya wedding ziliofanyika kwa wiki iliyopita na kuzipost hapa ,since harusi ni nyingi na siku hizi zinavutia tutadokoa picha zile kali zilopostiwa kwa mitandao and post them here kwa ujumla. What do you think of this idea???leo… (0 comment)