Weekends Are For Weddings
Hello issa Monday and we check on the highlights za wedding mbalimba zilizofanyika on the weekend. All the inspirations from brides,bridesmaids,groom and groomsmen ,decor etc love from Tz the dress  Mtani Bespoke  natural hair bride kilichonovutia from this bride ni her hair style  and her second look mambo ya jumpsuti  high slit for days fringes… (0 comment)

Wedding Highlights #02
Hello Kwa sasa hivi weddings na mambo ya mitandao kila kitu mnafanya online ,kuanzia makeup artist,designer wa nguo,decor ,msosi ,Mc wote wana page an wanapost hizi harusi ,kiasi tujika kupost kwa blog watu hamu ya harusi ishawaisha siku nyingi maana mshaona kila kitu kwenye mitandao. Tumeona tuwe tunaweka wedding highlights za video.So ukiwa na harusi… (0 comment)

Wedding Highlights
Hello Kwa sasa hivi weddings na mambo ya mitandao kila kitu mnafanya online ,kuanzia makeup artist,designer wa nguo,decor ,msosi ,Mc wote wana page an wanapost hizi harusi ,kiasi tujika kupost kwa blog watu hamu ya harusi ishawaisha siku nyingi maana mshaona kila kitu kwenye mitandao. Tumeona tuwe tunaweka wedding highlights za video.So ukiwa na harusi… (0 comment)

The Best Dressed Bride this Weekend Snatched in Kyamirwa Styled by Juma Wilson
Kyamirwa ame prove kwetu kwamba habahatishi ,he means business only,sababu gowns zinazotoka kwake they are just gorgeous ,there is no way utashona kwa Kyamirwa utoke haueleweki no . This Weekend alimvisha pia Vanessa a bride ambaye naweza kiri kwa harusi za hii weekend no one ame slay kama yeye ,kuanzia fitting,dress yenyewe just perfect. Kingine… (0 comment)

Walter Odemba and Irene Kamugisha’s Nuptials
Hello This Monday we are celebrating two people ambao wameamua kua mwili mmoja kisheria,Walter na mke wake Irene. They had a beautiful wedding ceremony ,ilikua outdoor and they wore white ,which was amazing ila kilichotisha zaidi Walter hakuvaa suit kama grooms wengine ,alivaa shorts na shati na sandals,very unusual but unique wengi wanavaaga suit.Kingine Bi… (0 comment)

FLASHBACK FRIDAY :: BRIDES WHO SLAYED THIS WEEKEND
Watu wanaolewa sana na kuoa miezi kama hii ,Masha Allah Tunawatakia kila la kheri kwenye ndoa zenu Insha Allah Ooh Julieth ,you made a gorgeous bride ulipendeza sana na mwanya wako her dress was on point too hawa wamechagua Wallah  that face though groom anapokubali kweli kaopoa chombo just beautiful queening  Agnes and her hubby… (0 comment)

Hans and Iku’s Wedding + How Guest Slayed the Night
Well the series ya #hanswedsiku ndo imehitimishwa na wedding yao,Kwanza congratulations to the newly weds,muwe na maisha mema ya ndoa . From the wedding vitu nilivyopenda ni dresses za blush of pink from bridesmaids ,also the flower girls and the  junior ushers walivyokua wamependeza ,also guest walipendeza sana on this wedding,still waiting mmpost picha nyingine za… (0 comment)