VITU 10 VYA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA  DIET
1. Set goals/Jiwekee Malengo Cha kwanza kabisa na cha muhimu sana kabla hujaanza diet ni kuweka malengo,tana malengo ambayo yako realistic usijidanganye kabisaa ,kama kuna malengo ambayo hayako realistic its likely diet haitafika popote.Jipangie jinsi ya kufanya diet hiyo kwa malengo uset kabisa vipi utafikia malengo yako.Planning is very important guys kuanzia milo yako ,mazoezi… (2 comments)

EAT & LIVE HEALTHY:SABABU NANE ZA KIAFYA ZA KWANINI ULE SANA SAMAKI
1.SAMAKI WANAPUNGUZA RISK YA KUPATA MAGONJWA YA MOYO  ILA USIMKAANGE CHEMSHA AU MCHOME2.SAMAKI WANAPUNGUZA PIA RISK YA KUPATA PROSTATE CANCER 3.SAMAKI NI WAZURI KWA WATOTO INASAIDIA BRAIN DEVELOPMENT 4.WANASAIDIA KUMAINTAIN UONAJI MZURI WA MACHO 5.SAMAKI WATAKUSAIDIA KUWA NA COMPLEXION NZURI YA NGOZI YAKO6.KUWA NA POSITIVE OUTLOOK NA KUPUNGUZA DEPRESSION NA NEGATIVITY7.SAMAKI WANA TASTE NZURI AWE… (0 comment)

EAT AND LIVE HEALTHY:VITU KUMI VYA KULA KUPATA /KUWA  NA NGOZI NYORORO
KARIBUNI KWA KIJIWE CHA UREMBO TUKISHARE MAMBO MBALI MBALI YA UREMBO LEO TUJIFUNZE VITU KUMI AMBAVYO UKITUMIA UTAKUWA NA NGOZI NZURI NA NYORORO YENYE KUVUTIA. 1.GREEN TEA 2.Red bell peppers 3.DARK CHOCOLATE 4.COCONUT OIL HII WAPAKA MWILINI 5.PAPAI 6.SPINACH 7.CARROTS 8.CELERY9.SEEDS HIZI NI MBEGU MBALI MBALI WAWEZA WEKA KWENYE SALADS UKATAFUNA NA ZILIZO KWENYE MATUNDA… (0 comment)

TIPS ON HOW TO LOOK GOOD WITHOUT MAKEUP/ FANYA HIVI ILI USO WAKO UPENDEZE BILA MAKEUP
Some days mtu unataka kuwa makeup free laini lakini ukifikiria kuwa hutopendeza Bila makeup ndio tatizo. Unaweza kupata ngozi nzuri na laini na ukapendeza hata Bila makeup. Fata tips hizi zifuatazo:: 1.Tumia Tinted moisturizer with SPF. Badala ya kutumia foundation, tumia a tinted moisturizer with enough spf. Hii italinda ngozi yako na Kui hydrate na… (0 comment)

5 TIPS ZA KUA MIKONO SOFT.
Dry hands inaweza kuwa imesababishwa na vitu vingi, either baridi au hata kuwa hau-moisturize mikono vizuri ndio maana mikono yako inakua inakauka na hata kupasuka, unatokewa cracks. Ni ngumu sana kupata moisturizer ambayo itapenda ngozi yako na kukusaidia ngozi iwe laini, sio lazima kutumia hela nyingi kununua cream ambayo itaondoa hilo tatizo, unaweza pia kutumia… (0 comment)

Miss India Manushi Chhillar Ashinda Miss World 2017 ,Kenya yaingia Top 5
India yaweka rekodi nyingine baada ya Medical student  Manushi Chhillar kushinda taji hilo la urembo duniani.Baada ya Miaka 17 tangu washinde taji hili ambalo lilishikwa na Priyanka Chopra . Manushi Chhillar (C-front) of India, the new Miss World celebrates with other contestants the conclusion of the Miss World 2017 in Sanya, Hainan province, China, 18… (0 comment)

Home made INFUSED WATER recipes
From sharing few tips like drinking infused water  that keeps my skin glowing and looking healthy, My beautiful readers have been eager to learn about how they could make their own at home and get that perfect glow and a healthy looking skin. i mentioned before that cucumber infused water is my favorite and the… (0 comment)

INFUSED WATER glows you up!!
Drinking water can get really boring, This has  happened to me before where i had just started my water drinking routine,i wanted to drink at least 1.5ltrs a day,but in time i got tired and started to think that as much as i want to heal my skin i need to find ways that could… (0 comment)

WATER HEALS
IT ALL STARTS FROM WITHIN!!! A glass of water every now and then is very important for a healthy looking skin.Water is a natural therapy for a glowing skin and act as a big  health contributor to our bodies. We  all know the importance of water,as it is one of the necessary component for the… (0 comment)