#TBT :: Moro Sec na Pozi la Kris Kros
Leo da Shamim katupia TBT yake enzi hizo akiwa Moro Sec na pozi maarufu la Kris kros akiwakakumbushia Da Chaba. RAP #tbt Hahahaha nakumbuka mpiga picha alikua anaitwa Msigwa ( hivi bado yuko huko morogoro mwambieni alijua kutufyekelea mbaliiūüėä) , alikua anakuja ana kofia zake iyo ya RAP na ingine iliandikwa DUDE maalum kwa kupigia… (0 comment)

TBT ::: Zari asema anataka harusi yake na Diamond iwe kubwa na ya gharama kuwahi kutokea Afrika Mashariki
Hii nimeikuta Bongo5 nikasema niweze share hii¬† Zari The Bosslady amedai kuwa anataka harusi yake na Diamond Platnumz iwe kubwa na yenye gharama kuwahi kufanyika Afrika Mashariki. Hata hivyo, itafanyika baada ya kuwa wamefanya mambo ya muhimu zaidi ikiwemo kujijenga zaidi walivyo sasa. Akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM Alhamis hii, Zari… (1 comment)

THROWBACK THURSDAY ::HUYU NDO MDADA NYUMA YA BELLA NAIJA NA SASA ASOEBIBELLA
HII POST NILI IANDIKA MWAKA 2014 DEC 1,YES KAMA BLOGGERS TUNAKUA INSPIRED NA MTU KAMA BELLANAIJA AMBAYE ANAFANYA VYEMA SANA ,ILA KWA SASA ANAPAA ZAIDI NA ASOEBIBELLA AMBAYO HUMO MISHONO YA KILA AINA UTAIKUTA . HII NI KIDOGO KUHUSU YEYE,HOPE SHE INSPIRES KUFANYA ZAIDI KWENYE SECTOR AMBAYO UPO. ANAITWA UCHE EZE PEDRO NI MDADA TOKA… (0 comment)

TBT::When I was in New York
EEeee¬† NDO TIME SQUARE,NEW YORK , NILIPOKUWA NASHANGAA ENZI IZO…..Kibonge Mie, siku izo najilia ugali kama kawa …chips zege kachumbari /chachandu (makabichiiii pwaaa) na kuomba chips chombeza unabembeleza pale napokula ndizi mzuzu¬† kwa kuku ….paja la ng’ombe….shavu Dodo na msuko wangu wa nanasi veeepe ¬† ¬† ¬† ¬† ¬† ¬† ¬† ¬† ¬† ¬† ¬†… (0 comment)

Tb ya Da Shamim Zeze ,Story kidogo kuhusu hii Movie kwa experience yake
Jana ndo ilikua TBT ,Da Shamim ka share hii movie kwa insta page yake akieleza mengi kuhusu movie na alivyokua anaishi Morogoro ,ka story amazing enjoy ¬†#throwbackthursday ? nimekaa tu nikaikumbuka hii movie , ambayo ni lazimaaaa kwa hili jina la movie tungekuwa tu tukicheza kidali POO ile yakujificha ukimkamata mtu unamwambia ‘ u cant… (0 comment)

TBT ::Mwendo wa Vipara na Wema Sepetu,Vita ya Kipara imewahi muacha mtu salama???
Wema amenifurahisha sana juzi kupost hii picha yake hata haikua Thursday aliikumbuka tu na kuamua ku share na sisi mashabiki ,tukumbuke kipindi kile cha mwendo wa vipara. Aliweka picha hii kwa insta na kuweka caption yenye swali Nimeiona hii Picha ni kakumbuka, “Mwendo wa Vipara” … Alafu nikawaza tu je tukifanya Challenge ya kunyoa vipara… (0 comment)

ON THESE RAINY DAYS LET’S TBT TO  DIAMOND PLATNUMZ BEING  OBSESSED WITH HIS KNIT BEANIE HATS.
Ni rainy season so kuvaa beanies is acceptable unless upo kwenye corporate world but waweza vaa kwa weekend Beanie Hats Yassss So nimekuwa namfatilia Diamond anavyovaa its natural this is a fashion blog ,so hizi kofia zaitwa Beanie hats jina lingine ni Winter hats and kibongo bongo twaita Boshori au tusema Arusha hili jina ndo… (0 comment)

Throwback Thursday :Hivi ndivyo unaweza Kutoa Weusi Kwenye Elbows,Shingo,Kwapani na Magotini
Segment yetu ya Eat and live Healthy inaendelea leo tukiwa na a complete guide ya jinsi gani basi unaweza kuondoa au kupunguza weusi kwenye shingo,magotini na makwapani,tukiwa wengi tuna suffer na hili tatizo .Tena unakuta wengine panapauka au kuwa pakavu na hapa kolei wese sasa basi nna tips kadhaa za kukusaidia. Kuna vitu huwa vinasababisha… (1 comment)

Throwback Thursday::Be Inspired by Weightloss Transformation ya Open Kitechen
Weightloss ya Upendo wa open kitchen am sure kila mtu inampa hamasa na moyo kwamba ukiamua inawezekana kupungua,yani ukiangalia before and after ni major transformation,kinachofurahisha zaidi ni kwamba amepungua bila kutumia dawa yoyote,kwa mazoezi na kula healthy. super proud of her¬† kuwapa moyo aliandika hivi on her insta page My tbt everything is possible it… (1 comment)