Khadija Mwanamboka Atoa Tips za Nini Ufanye ili Udamshy
We all know Khadija Mwanamboka,fashion designer,mjasiriamali,philanthropist,balozi wa watoto walemavu wasio ona wala kusikia ,she is everywoman. Alikua kwenye kipindi cha Dadaz cha EATV na alikua akiongelea mada ya Kuwa mwanamitindo lazima kuvaa nguo za gharama?? Hapa katoa points kadhaaa kwamba lazima ujue mwili wako ,nguo gani zina work for you,ujue una taka kwa siku hiyo… (0 comment)

Re-Rocking Lessons from Tanasha Donna
Moja ya wadada marufu East Africa kwa sasa ni Tanasha,ofcourse yeye ku date na Dimaond kumemuongezea umaarufu japo tulimjua kutoka kwenye Video ya Ali Kiba ile ya Nagharamia. Well i love her love for Re rocking her staff ,hana mchezo let it be Wigs,handbag au shoes . Pink Mini bag shoes Pink Wig… (0 comment)

Track Suit Styling Lessons From Lavidoz
Track Suit wengi hawazifikirii kama ni outfits that can be dressed up,sababu tunaishi kwa kuzoea kwamba hizi ni nguo za kuvaaa when your lazy au wengine wanavaa only kukiwa na baridi,but kama unamfatilia vyema Mrembo Lavido mjasiriamali, fashionista  na blogger basi utakua umeona how anazitendea hazi hizi track suit. Anazi style in a way ambayo… (0 comment)

#TBT :: Noel Ndale’s Obsession With Kanzu
Tuna throwback Thursday from post ya July 8 mwaka 2016 Nahisi Noel is obsessed with Kanzu kwa kuangalia tu many times ameweva kutinga kanzu utaona his love for this attire,Napenda anavyoa add his own touch kwenye mionekano yake ya kanzu.Its Friday na ni perfect for this look,hope utakuwa inspired na wewe next week Insha Allah… (0 comment)