Sababu 7 Zilizomfanya Faiza Ally awe Showstopper and Best Dressed at the Viking’s Night
Ujio wa muziki kwa baba na mwana Nguza Viking na Papii Kocha wengi walisubiria kwa muda mrefu na jana ndo walifanya event yao iliyopewa jina la Viking’s Night ,seems watu wali enjoy sana. Sijaelewa for some reason kuna watu walivaa as if ile ilikua harusi seriously,Jamani it was a night ya muziki muzuri ,cha kwanza… (0 comment)

We Found the 2018 Way to Button Your Jean Jacket
This is a new way ya kufunga vifungo vya koti lako la jeans ,nasema lenge vifungo .Badala ya kulivaa kawaida kwa kuachia au kufunga vifungo ,switch uo ufunge kitofauti kidogo kama Kendall Jenner au Kahlana Barfield . Inapendeza to see how other fashionistaz wanakua creative na kutu inspire hata sisi ,kwa mionekano yao. Kahlana styled hers… (0 comment)

Idris Sultan Turban is cool than yours
Idris is well known for his fashion choices ,ana style amazing na kashajijulia tena basi tunakoma.Sio mgeni wa kufunga vilemba kabisa ,showing men kwamba in style unaweza vaa kilemba na ukapendeza sana . For Black Panther premiers alivaa a kitenge shirt and black jeans akamalizia na red turban ambayo tutamu omba one day tutorial yake… (0 comment)