SARE SARE ::: Aunty Ezekiel na Binti yake Cookie
Aunty anapenda sana nguo nyeusi,but did you know kwamba nguo nyeuzi zinakuafanya uonekana kidogo mwembamba???sijui this was the idea behind all her black outfits au ilitokea tu kwamba black ni rahisi kuvaa usiku au kwenye sherehe yoyote,you can never go wrong with black. Her and daughter cookie are the perfect mother daughter in their tutu… (0 comment)

Irene Kiwia ,Shamim Mwasha and Asia Michiko in a White Cape Blazer,Who Styled it Better???
Two stylish friends with individual sense of style,Shamim and Irene Kiwia rocking a white cape blazer from Mimi’s collection. Irene Kiwia styled the blazer with a black dress,blush of pink bag and black pumps while Shamim wore it with a simple white tank top,african print skirt from mgecedesigns ,black wedges and bag from westendw1 Asia… (1 comment)

Diamond Platnumz Ndani ya Sare Sare na Theo Kgosinkwe wa Mafikizolo
Diamond yuko SA at the  MTV base Africa kwenye Colours of African Media  launch,huku tukisubiri hiyo nyimbo mpya waliyofanya pamoja ,the video itakuwa nzuri Kwasababu hata mavazi yalikuwa Dope Any way hawa wamekutana kwenye Hiyo Media Launch am sure ilikuwa ni coincidence tu basi maana wako kwenye almost same outfit . I love Olive  such a… (0 comment)