Pata Muonekano ::: My 40th Birthday Look
  Jana 14th January ilikua birthday yangu na nimetimiza miaka 40 ,Yes fabulous 40. #happybirthdaytome #badass#capricornbaby #fabulous40 #Fabfitmom #lifestartat40 #celebrating40years Sina maneno meengi yakusema zaidi ya kutumia #hashtag . Wanasema maisha yanaanza miaka 40, leo ndo naanza maisha??‍♀️ . Kikubwa ni kumshukuru mungu kwa kuniwezesha kuishi miaka 40 katika dunia yake na naomba aniwezeshe nitimize ndoto yangu ya kuwaachia… (1 comment)

INSPIRATION:ROOM DECOR/CLOSET IDEAS
SO WENGI TUNAPENDA KUWA NA CLOSET AU ROOM ZETU ZIPANGIKE VIZURI ESPECIALLY NGUO /VITUPIO HATA VIATU/SHOE RACK KWA WALE WENYE CLOSET ROOM ZAO HAYA KWA AMBAO HAWANA UTAPATA IDEAS MBILI TATU HAPA .ANGALIA MPANGILIO ULIVYOKAA RANGI ZAKE NA THE WAY FASHIONISTA HUYU ALIVYOMSAFI KWANZA YANI MPAKA PANATAMANISHA.HAPA KAPANGA PERFUMS NA KITRAY HIKI PITIA MADUKA YA… (0 comment)

PATA MUONEKANO :::BIRTHDAY OUTFIT BY EVECOLLECTIONS
Birthday ya mwaka huu January 14 nilisherehekea Miami ,niko huku kwa fursa ya Oriflame,nipo kwa seminars mbalimbali na vacation flani hivi amazing follow me on insta kwa mambo yote. Nilipiga picha hizi kwa Miami streets kama Jadore vile. Kitenge jumpsuit::Evecollections  Belt nayo ilikuja na jumpsuit Pink pumps ::Indigoshoptanzania Bag ::i own Makeup by Me… (0 comment)