Nyumbani ::: Give Your Bedroom a  fresh new look with these 8 Bedroom Ideas
Am sure kila mtu anakuwa bored na muonekano wake wa nywele sometimes hata mavazi na kuamua kubadilisha ,hivyo hivyo huwezi kukaa na chumba cha kulala na muonekano huo huo mwaka mzima it’s always refreshing ukibadili muonekano si lazima kununua furnitures mpya hapana ,waweza badili hata tu the lay out au positions ya ulivyopanga vitu vyako.… (0 comment)

Kina Mamam Hivi ni Baadhi ya Vitu ukivifanya vinakupa Matumizi Mapya ,Nakujuza
Hii post niliiona huko Facebook kwenye group la Wanawake mahiri,mashujaa na wanaojua mambo mengi ,huwa jina lingine ni JESHI KUBWA LA MAMA ,humo hakishindikani kitu,basi nilipo ona hii post kwakweli nilisema baadhi ya vitu lazima niweze kuvi share huko kwa Wadada na kina Mama wenzangu sababu knowledge is power. Wanawake walitaja vitu vingi sana na… (1 comment)

#TBT :: NAKUJUZA VITU 9 MUHIMU UNAHITAJI KWENYE CHUMBA CHAKO CHA KULALA
Hello Ile segment yetu ya nyumbani imerudiiii kwa kasi kila wiki tutakueletea post moja ya decor za nyumbani kama kuna kitu ungependa tukusaidie kutafuta ideas mbalimbali za home decor please tuambie kwenye comments below. Leo tunakuletea vitu 9 muhimu vya kuhakikisha unavyo chumbani kwako unapolala kwa wale mnaopenda interior decor basi karibuni,For a stylish bed… (12 comments)

Life Hacks You Should Know :: Kutoa Madoa kwenye nguo,Kutumia rangi ya kucha kusafisha viatu
Good Morning Leo nakuja na Life hacks mbalimbali za kike zaidi ambazo am sure ziko very usuful na zitakusaidia kwa namba moja au nyingine kwenye kutatua matatizo kama chupi kuingia damu wakati wa period mtu unaishia kutupa au unaloweka lakini haitakati fresh,au kua na jeans kubwa ina achia uwaza kiunoni Hope these video will be… (0 comment)

Fanya Hivi Kama Kiatu chako kinabana na kukumiza Vidole ,Siri ipo Jikoni kwako
Yes najua wengi hii ishatukuta unagawa viatu vyako sababu unakua umechoka maumivu vinavyokupa ukivivaa,si lazima kiwe kidogo viatu vingine tu shape yake na ya mguu wako may vinapishana na kukupa maumivu ,au vingine ukivaa baada ya muda mefu vina anza kuumiza kwa mbele ,mtu hadi vidole vinatoka malenge lenge,its serious inaumaga jamani. But guys nna… (0 comment)

Jamie Chua ,She Owns 200 Hermes Bags in Every Color,Her Closet is Dream Come to True to All Women
she is 42 and very rich,anatokea Singapore She was just a flight attendant lakini akaolewa na  Indonesian tycoon Nurdian Cuaca ambaye walikutana kwenye flight in business class ,akaolewa akiwa na miaka 20 tu . Utajiri wake alipata bada ya kucahana na mume wake huyo Nurdin Cuaca ambaye walidumu kwenye ndoa yao kwa miaka 15 na… (0 comment)

Hongera Kwa Jacqueline Mengi kwa Kuzindua duka lake la Furnitures za Nyumbani la AMORETTE
Miss Tanzania 2000 Jacqueline Mengi jana alizindua duka lake la Furnitures za nyumbani lenye brand ya MOLOCAHO chini ya Amorette . Duka hilo liko sea cliff na litakuwa linauza furnitures za ndani kama makochi, viti, vitanda, meza na baadhi ya vitu vingine huku akitarajia kuongeza kwa kuuza furniture za jikoni kwa hapo baadae  “Amorette ni kampuni… (0 comment)