Zainab Bride Alonoga Weekend Hii,Her Dress by Kyamirwa  and Makeup by lavie
Katika brides ambao wamenoga weekend hii Zainab ndo kafunika,Fire yani we are collapsing for her She looked beyond beautiful Dress @kyamirwa Stylist @jumawilson MUA @laviemakeup Deco & event planner @kevins.events love her pearl tiara,unique and different since now days watu wanavaa crowns  that flawless makeup look her dress ilionyesha mwanamke kiunooo,satin imeenda shule,the fittings was superb,Kyamirwa hands up for… (0 comment)

Best Makeup Looks and Dresses from Diva Glam’s Brides
Hello Friday Today tunacheki the magic hands za divaglam beauty,and we look into her brides kuanzia makeup,hair styles ,dresses and accessories. Kwanza Divaglam is known kwa makeup nzuri sana kwa dark skinned ladies mambo ya melanin mnaita wenyewe wa mujini na vingereza vyenu.sio kwamba mtu mweupe hawezi no anaweza mfanyai mtu yoyote japo wengi wanashindwaga… (0 comment)

How Kyamirwa Brides Slays in their Wedding Dresses Style by Juma Wilson
Morning hopefully wote mlikua na weekend amazing Leo tumcheki designer Kyamirwa ambaye nimegundua kwamba alipotea insta for sometime but he is back na amerudi with such a strong force,maana hao brides wake wanavyo slay unawaza may be alipojipa likizo alikua anahakikisha project zake hizi zinatoka vizuri. Kuanzia send off na harusi brides wamependeza sana,wanene ,wembamba… (0 comment)

Weekend Brides
We are loving brides wa siku hizi ,unajua tuwamejiandaa na wamechukua muda kufanya research na kupata mionekano ya kisasa kuanzia nywele ,dresses ,their bouquet. i loved the dress ,huyu bride alijua kunoga na naona inspiration ilikua royal flani hivi kuanzia the dress ya Cinderella mpaka vibandiko. love the angelic dresses  huyu dada ana visopidish amazing… (1 comment)

Yay or Nay?? Magreth Avaa A Black ball gown Dress on her Wedding Day
Leo nilikua nasikiliza kipindi cha Joto la Asubuhi sasa kwenye kipengenye cha kunyumbulisha Maulid kitenge alikua akisoma Magazeti kuna habari akasema Kule Arusha kuna kanisa wamekataza ma bibi harusi wenye ujauzito kuvaa nguo nyeupe/shella nyeupe sababu nguo nyeupe ile ina ashiria ubikira .Sasa sijui ambao hawana mimba na sio bikra watawajuaje anyway the point is… (0 comment)

Beautiful Brides from the Weekend
Let’s celebrate bride wa hapa Bongo ,waweza pata inspiration from them,yaweza kua from their dresses,makeup,accessories etc Masha Allah hii ilikua ni for anniversary ya harusi yake but she nailed this look,kwa ambaye anatarajia kufunga ndoa huu muonekano ni amazing sana for Nikah Makeup na accessories kutoka kwa divaglambeauty One thing nimependa sana from this bride… (0 comment)

The Stunning Tanzanian Brides From the Weekend
Hawa ndo bi Harusi from the weekend ,from their dresses ,makeup ,hair styles na nini mambo ni fire. Purple rain  the cutest smile makeup by  jenheri_pro_mua  now you know what i mean nikisema ana the cutest smile  modest muslim brides  ‘amazing ,melanin  makeup by the_studio_26 kanoga sana na dress yake na kibandiko  white and red  love… (0 comment)

Show stopping Brides ::: This is the Longest bridal Train of 2017 ,Sio kwa Mtreni huu
We celebrate brides ambao wana kiki sana kwenye social media ,mengi ikiwa ni kuhusu their wedding dress,hair and makeup,hata decor,bridesmaids walivyotokelezea na mengine mengi. Huyu bride amekiki week hii nzima kwenye instagram watu wengi wakipenda sana jinsi her off shoulder dress ina LOOOOOOOOOOOOONG TRAIN. Sijawahi ona this long bridal train before ,alipendeza sema kama bridesmaids… (0 comment)