Short Hair Dont Care  ::Dina Marious,Lilian Makoi Rabi and Faraja Nyalandu rocking short hair at Tanzania Leadership Awards
Let’s celebrate and appreciate great and phenomenal women,wanafanya vizuri kwenye sekta zao na to top it all off ni Naturalista babes. Dina Marious ndani ya ki panki flani amazing akakipa ana ombre look ya black and bleach/blonde while Lilian Makoi yeye ana kampuni yake ya bima ya Jamii akiwa naye na short hair,sina uhakika hiyo… (1 comment)

4 Models Walked Victoria’s Secret fashion 2016 with their Natural Hair,Mtanzania Herieth Paul nae Yumo
Mwaka jana ndo ilikuwa mara ya kwanza kwa model Maria Borges ku walk the show akiwa na natural hair ,which ilishangaza watu sababu ilikuwa ukiongelea Victoria’s Secret hair unaongelea  you mean voluminous, waves etc but uongozi uli kubalia Maria kuwa na natural hair siku ya show.   But mwaka huu Models wanne waliweza ku rock natural… (0 comment)