NATURALISTA:LIRA
LIRA NI MWANAMUZIKI KUTOKA SOUTH AFRICA MABAE AMEWEZA KUKEEP MUONEKANO WAKE WA NATURAL HAIR,ALIACHA KAZI YA ACCOUNTING ALOSOMEA JUST KUWA MWANAMUZIKI HONGERA KWA KUFATA NDOTO ZAKO NA KUMAKE IT HAPPEN. ANAJITAHIDI PIA NA AFRICAN TOUCHES HIA AND ZEA CREDIT:blackgirllonghair… (0 comment)

NATURALISTA :STACY
STACY NI MAKE UP ARTIST NA NATURALISTA PIA.ANAAMINI UKIWA NATURAL BASI HATA MAKE UP YAKO IWE HIVYO HIVYO IENDANE NA NYWELE NA NGOZI YAKO. KAMA UNANATURALISTA AU WEWE NI NATURALISTA USISITE SHARE NASI SIRI YAKO YA KUMAINTAIN NYWELE ZAKO AU HUKO INSTA AU MITANDAONI TUTAG  INSTA @8020FASHIONS FACEBOOK @8020FASHIONS MCHEKI INSTA @BEUTIFYBYSTACY CREDIT:BEUTIFYBYSTACY… (0 comment)

JULIUS &BEATRICE VIDEO WEDDING …..U MUST WATCH
OH YESS HII VIDEO NI LAZIMA UICHEKI ESPECIALLY WEWE MTARAJIWA NA WEYE UNAESAKA MTENGENEZA VIDEO WA MATUKIO WAKISASA, 101 STUDIOS Kwanza imenikumbusha video ya harusi yangu, 😉 , HII NI SIMPLE NA INA MATUKIO YOOTE MUHIMU HIVI NDIO VIDEO INATAKIWA KUWA HUCHOKI KUANGALIA, NI WEWE TU KUMSISITIZIA MATUKIO YEPI UNGEPENDA YAWEPO KWA VIDEO YAKO,  NAE ATAYANASA… (0 comment)