FBF :: Kheris Rogers Binti wa Miaka 10 Alikua akitaniwa for her Dark Skin,Aamua kuigeuza rangi yake kua brand
Kheris Roggers aka kherispoppin ni binti wa miaka 10 ambaye alikua bullied na kutaniwa sana sababu ya ngozi yake kua nyeusi ,lakini ameji empower na kuamua kuifanya rangi ya ngozi yake kua brand yake. Aliandika hair stylist wake @kherispoppin was teased about her dark beautiful complexion. She turned tears into empowerment and her dark skin into a brand.… (3 comments)

NATURALISTA:CYNTHIA
NI NATURALISTA NA FASHIONISTA NA TWAWALETEA MITINDO MBALI MBALI AMABYO HUWA ANASTYLE NYWELE ZAKE. HII WANAIITA UP DO KIJINJA CHABANWA KUELEKEA JUU SIDE AND DO VITUPIO KAMA HEAD SCARFS ZAHUSIKA PIA FRO    LOVE THE BIG HAIR DON’T CARE  CREDIT:SIMPLCAN… (0 comment)

Abee Natural Is Giving Us Natural hair Envy and Idea for the Valentines Day
Abee Natural loves natural hair na amekua akitoa elimu mbalimbali kuhusu nywele za natural jinsi ya kuzitunza ,mafuta ya kutumia ,style ideas kwa you tube channel yake. Kwa sasa unaweza kufanya consultation ya kukutana nae pale dahliathebeautylounge Mfollow kwa instagram yake kuona mengi zaidi @abeenaturals au ☎️+255754712421 For Valentines day anauliza how will you dress your crown???akitoa pia… (0 comment)