Mwaka Mpya na Mshono Mpya Unaopendwa Sasa
Good Morning ,post ya kwanza ya Mishono kwa mwaka 2019,tunacheki this cutest mshono ambao umevaliwa sana na Warembo especially bloggers mbalimbali maarufu,why???sababu mzuri ,uko simple na una mix vitenge viwili tofauti ila vilivyo pangwa kwa ustadi mkubwa. Kuna vitenge hivi siku hizi vya two in one ambavyo viko tofauti but vinaendana ,ukikipata mshono huu utaupenda.… (0 comment)

Huddah Serving Body
  huddahthebosschick serving us body in this cute high low dress which bright and beautiful ,we love it the star girl looked rather amazing and feeling herself in this dress  how cute didn’t like the shoes though… (0 comment)

MISHONO KONKI SANAA HIIII
Good Morning Issa Choose day,tucheki Mishono konki hatariii kwa ajili yako,waweza comment chini mshono upi umekumbamba na unaweza kuudesa ukashonewa na fundi wako. Mshoni konki kabisa wa wedding guest  this color though omg  mnaopenda makshkash huu unawafaaa mixed fabricsunaweza ku attach au kukitoa hiko cha kiunoni   green with envy navy blue and black amazing… (0 comment)

The Iconic Over sized Hats Trending Now
The Royals are know for their fascinators but now common and iconic people are rocking them so well we have forgotten the royals .We have seen these wide brim hats/fascinators from Beyonce to Card B to other fashionistas who are not afraid to make that statement. One question are these the new IT THING???? YES… (0 comment)

Vimshono mbalimbali vya Warembo wa Bongo toka Weekend
Issa Choose day na tunachagua Mishono toka kwa warembo wetu wa hapa hapa Bongo,tuwapumzishe kidogo wa naija . Vimshono mshono vizuri vya kudesa unavipata hapa. Dina Marious in Maznattailoring  love the color and details kwenye hiki kitenge  Nandy aka the African princess rocking hers from her own collection  nimependa sana mikono vingine nakuachia  That short… (0 comment)

JIDAMSHISHE NA MISHONO
Mishono ya leo very hot ,from mettalics,to lace to vitenge ,wewe tu uanchagua kipi unapenda ,una desa waenda kudamshi nacho. OMG  Yellow baby melanin goddess pre wedding outfit ideas love kitenge with a modern twist… (0 comment)