Movie To Watch: Acrimony
This movie is about a faithful woman who gets cheated on, inaonesha ni how much pain inaweza kumbadilisha mtu from a good person to a vengeful person. If you still haven’t seen this you are missing out on this sensational movie. Check out the short trailer below:… (0 comment)

Onyesha Support yako kwa kuitazama  filamu waliyocheza Rapper wa Kibongo One The Incredible, Wakazi, Fid Q na wengine
Filamu imepewa jina la Bongo Flava ambayoa wameungana rappers na producers mbalimbali wa hip hop hapa Bongo. Katika filamu hii utawaona watu kama One The Incredible, Wakazi, Fid Q, Makamua, Godliver, Karabani, Lamar, Songa, Saigon, J Nkwabi, Salu T, Silipa na Nkwabi. Kwenye filamu hiyo kuna nyimbo pia mbalimbali ambazo zimesikika kama  Juhudi za Wasiojiweza… (0 comment)

Movie Time ::Beyonce Ala Shavu la kuweka Sauti kwenye Animation Movie ya Lion King
Beyonce anaungana na cast nzima ya animation movie ya Lion King ambayo wanaitengeneza na amepost kwenye facebook page yake. Beyonce ataweka sauti yake kama Nala kwenye movie hiyo.Beyonce ataungana  Atlanta actor Donald Glover will voice Simba in the reboot and James Earl Jones will return as Mufasa. Wengine ni Chiwetel Ejiofor as Scar, Aflre Woodard as Sarabi, John… (0 comment)

Movie To Watch : Flatliners
The weekend has just began and there are plenty of movies to watch out there!, but have you seen “FLATLINERS”? A group of young people figure out a way to go back and forth from dying, but little did they know that the other side is slowly pulling them.. check out a short trailer below..… (0 comment)