Style Mpya ya Kucha 2018 :: Key Nails
Kwa wale warembo wa kupenda kucha hizi ndo zaonekana  kwa sasa kuongelewa sana ,bado hazijawa popular kihivyo so may be tuzipe muda kidogo then zitakua all over the internet. Tumeshaona kucha za aina nyingi na tumeshapost styles mbali mbali kama KUCHA ZA MATUNDA ,KUCHA ZA VITENGE ,KUCHA ZA SIKU YA HARUSI Hizo ni baadhi tu ,ila… (0 comment)

Weekend Mani with Lavy nail Polish
for your weekend mani appointment tumia rangi za Lavy nail polish ,mbali na rangi wanvifaa mbalimbali vya kucha katika kusisitiza usafi na afya kila mtu atumie vifaa vyake mwenyewe,ukinunua unaweza kwenda navyo saluni au kumpa mtengeneza kucha atumie kwa ajili yako tu. Napenda different ideas wanazokuja nazo katika kuonyesha rangi hizi za kucha Rangi zinadumu… (0 comment)

Jamani Would You Guys Try these Nail Gloves ????
Mhhh hizi nazo ziko sokoni na naona zita trend very soon Zinatoka kwa kampuni yaUnicornsPoopGlitter.com They do nail gloves kwa wale drag queens ,i mean that was the origanal intention but now hata watu kawaida wanazipenda na wanajaribu kuzivaa. Hizi gloves sio cheap hata kidogo ,ofcourse sababu ni OG kabla watu hawajaenda photoa fake zake… (0 comment)