Irada style inakuletea package nzima ya kuanzia kuku dezainia nguo,makeup,henna etc So mtu ana event yake mfano anataka nim dizainie for her baby shower..nikapata idea why nit provide everything then nimcharge as a package..coz maana ya kuwa Stylist ni kumpa mtu muonekano and much more. Now nimejiongeza kwa kuweka package ya: Photoshoot/Event Designing Styling Photographer… (0 comment)

Hijabi Olympian Ibtihaj Muhammad at the ESPY Awards Red Carpet
Ibtihaj Muhammad ni Mwanamichezo ambaye ni Sabre fencer wa kule Marekani,ni mwanamke wa kwanza kuvaa hijab akiwa kwenye mashindano ya Olympics ya mwaka 2016 kwenye summer Olympics .Alishinda bronze Award na aliweka historia ya kua mwanamke wa kwanza wa kiislam kupata medali kwenye Olympics. Ali attend kwenye Awards za ESPY Excellence in Sports Performance Yearly Award… (0 comment)

Hijabista of the Day :: Blogger Azure Kange
Azure Kange nilimjua alikuja ofisini kuchua tickets zake za event ya Oriflame and sijui tuliongea nini tukafikia kushop online kwenye store ya shein,akatuelezea na Da Shamim a bit on her experience kwenye shopping online. So she is  a blogger hana muda mrefu and she is doing great,ana mix from work wear to casual,and Ramadan ilivyoanza… (0 comment)