Updo Braids style to try
Sasa hivi watu wengi wameamka kwenye suala la kua na natural hair,wengi mno wameacha kuweka dawa. Now box braids au braids ni njia moja wapo ya ku protect nywele zako kipindi ambacho labda baridi,au ukiwa umechoka style moja pia. Au kama zimekatika sana unazisuka kuzisaidia zikue kwa upole bila kuzihangaisha sana na mambo ya kuzichana… (0 comment)

Diamond Platnumz Rocks Mohawk Braids ,Yay or Nay
Kua msanii means ni kubadili muonekano wako mara kwa mara ,watu au mashabiki wasikuzoee,baada ya kiduku cha muda mrefu East African Finest Musician Diamond Platnumz decide to rock braids. The braids zimesukwa style ya Mohawk  na ni ndefu waziona shingoni kabisa. Japo hatujui hizi ni rasta za aina gani angemsuport Mama Dee na lile dili… (1 comment)

Style Mpya ya  Nywele ya Aika Navy Kenzo Yafananishwa na Dish ,Pata kujua Details zote
Well ukiwa msanii lazima ujue kubadili muonekano wako kila mara huwezi kua boring sababu utachosha mashabiki,na lazima kama msanii uwe tofauti kidogo na watu ambao sio wasanii either kwenye mavazi,hair styles,lifestyle kwa ujumla. Aika alipost picha akiwa na style yake mpya ya nywele ambayo toka aipost mpaka sasa ana likes zaidi ya 23000 which sio… (0 comment)